Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012 - KANDA YA ZIWA, wakiwa katika picha ya pamoja, tayari kwa shindano la Miss Utalii Tanzania 2012 - KANDA YA ZIWA litakalofanyika 30-6-2012 katika Hoteli ya kitalii ya MONARCH KOTEL MWANZA.Jumla ya warembo 12 watapanda jukwaani ,wakiwakilisha mikoa ya Mwanza,Geita,Tabora, na Simiyu
![](http://3.bp.blogspot.com/_MsaNQZtvB5E/StANnrMWRCI/AAAAAAAAAKY/WmvDsGT-YfA/S45/normal_HNH_9244-sapa0207.jpg)